KWANINI MOTO NA UPEPO VINAWAKILISHA TABIA ZA MUNGU?

Shalom, mtu Mungu nakukaribisha tujikumbushe tena Neno la Mungu kwa yale ambayo tulishawahi kujifunza huko nyuma lakini leo tutaangalia kwa upana zaidi, na naamini utaongeza kitu kipya katika ukristo wako(Wafilipi 3:1), Biblia inaufananisha utendaji kazi wa Mungu na vitu viwili cha kwanza ni Moto na cha pili ni Upepo. Bwana Yesu alipomuhubiria Nikodemo habari za … Continue reading KWANINI MOTO NA UPEPO VINAWAKILISHA TABIA ZA MUNGU?