Zaburi 34:19 “Mateso ya mwenye haki ni mengi, Lakini Bwana humponya nayo yote”. Wengi wanauliza inawezekana mwenye haki akapitia mateso?..Jibu ni ndio! Mwenye haki anapitia mateso.. Tunaweza kuchukua mifano kadhaa katika Maandiko, Yusufu alikuwa mwenye haki, alimheshimu Baba yake kuliko kaka zake 11, hakusema uongo kwa Baba yake, na zaidi ya yote alipendwa na Baba … Continue reading MATESO YA MWENYE HAKI
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed