JE YESU ATARUDI TENA?

Bwana Yesu alikuja, akaondoka naye atarudi tena? Swali ni je! atarudi kufanya nini? Jibu: AtarudiĀ  kuitawala hii dunia pamoja na watakatifu wake, Biblia inasema dunia hii, enzi na Mamlaka amepewa Yesu na Mungu Baba…Mamlaka hayo, hapo mwanzo yalitoka kwa Mungu…akampa Adamu…Adamu akayapoteza, na shetani kuyachukua…Na alipokuja Yesu Kristo, shetani alinyanganywa mamlaka hayo na na kukabidhiwa … Continue reading JE YESU ATARUDI TENA?