HAMJAFAHAMU BADO?

 Moja ya mambo ya muhimu sana ambayo Roho Mtakatifu anayafanya ndani ya mtu baada ya kukata shauri la kumfuata Yesu Kristo, kwa moyo wote ni “KUMWONDOLEA HOFU YA MAISHA HAYA” Karibia kila mwamini katika hatua za kwanza kwanza kabisa, Roho Mtakatifu ni lazima ampitishe katika madarasa ya kumwondolea hofu ya Maisha haya…Kwasababu katika hali ya … Continue reading HAMJAFAHAMU BADO?