MATUNDA 9 YA ROHO MTAKATIFU

Uthibitisho wa kwanza wa mtu kuwa na Roho Mtakatifu ni Utakatifu atakaouonesha, na Utakatifu kwa ujumla ndio tunda la Roho. Na uthibitisho wa Pili ndio karama aliyo nayo…. Na Mtu Mtakatifu ni lazima aoneshe vitu 9 vifuatavyo..pamoja na vingine vingi, lakini hivi 9 ndio msingi wa UTAKATIFU WA MTU. UPENDO FURAHA AMANI UVUMILIVU UTU WEMA … Continue reading MATUNDA 9 YA ROHO MTAKATIFU