by Admin | 19 Oktoba 2019 08:46 um10
Mpagani ni mtu yeyote asiye Mkristo…Mtu yeyote anayeabudu miungu mingine tofauti na Mungu wa Israeli, ambaye anaabudiwa kwa kupitia mwanawe wa pekee Yesu Kristo, mtu huyo ni “Mpagani”…
Mchawi ni mpagani, watu wasio na dini ni wapagani, waabudu miti, mawe, sanamu wote ni wapagani, kadhalika na wakristo-jina wote ni wapagani, na waislamu ni wapagani. Upagani hauna tofauti sana na “ukafiri”
Mtu aliyemwamini Yesu Kristo, na kubatizwa katika ubatizo sahihi na kupokea Roho Mtakatifu, na kuuishia wokovu kulingana na Biblia, yaani kuishi maish ya utakatifu na ya kumcha Mungu, mtu huyo pekee ndiye ambaye si MPAGANI.
Shalom.
Mada Nyinginezo:
BWANA ALIMAANISHA NINI KUSEMA “WAACHE WAFU WAZIKE WAFU WAO“
ROHO I RADHI, LAKINI MWILI NI DHAIFU.
Source URL: https://wingulamashahidi.org/2019/10/19/mpagani-ni-nani/
Copyright ©2023 WINGU LA MASHAHIDI WA KRISTO unless otherwise noted.