AMANI YA BWANA /AMANI YA MUNGU.
Amani ya Bwana Ni nguzo ya Muhimu sana katika kumwongoza Mkristo. Moja ya njia Mungu anazotumia kuzungumza na Mtu ni kwa kupitia amani… AMANI INA SAUTI: Inazungumza, Ni kama mtu wa pili ndani ya Mtu..Hata katika mambo ya kawaida Mtu akikosa amani ya moyo ya kufanya jambo fulani, basi jambo hilo halifanyi tena…au hata akilifanya … Continue reading AMANI YA BWANA /AMANI YA MUNGU.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed