Biblia inamaanisha nini kusema Yeye aliye na sikio, na asikie?

SWALI: Tukisoma Ufunuo 2:17 inasema “Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa”..Ningependa kufahamu Sentensi hiyo ina maana gani? kwanini liwe sikio?. JIBU: Kwasababu kuna uwezekano kabisa mtu akawa na masikio lakini asisikie! Bwana Yesu alisema…katika Marko 8: 18 “Mna macho, hamwoni; mna masikio, hamsikii? Wala hamkumbuki?”.. Hao si viziwi Bwana … Continue reading Biblia inamaanisha nini kusema Yeye aliye na sikio, na asikie?