JE KUJIUA NI DHAMBI?

Je Kujiua ni dhambi? Ili kufahamu kuwa kujiua ni dhambi au la! Hebu tutafakari mstari ufuatao. 1Wakorintho 6:19 “Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; 20 maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu”. Mstari huu … Continue reading JE KUJIUA NI DHAMBI?