Katika Biblia Injili ni nini maana yake? Neno Injili limetokana na Neno la kigiriki “euaggelion” lenye maana ya “Habari Njema”. Hivyo Injili maana yake ni habari njema…Tukirudi katika biblia Injili maana yake ni “Habari Njema za Yesu Kristo” Luka 2:8 “Na katika nchi ile ile walikuwako wachungaji wakikaa makondeni na kulinda kundi lao kwa zamu … Continue reading INJILI NI NINI?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed