KUOTA UMEPOTEA.

Kuota umepotea mjini, au kuota umepotea shuleni, au kuota umepotea msituni, au kuota umepotea njia panda au kuota umepotea katika riadha au kuota umepotea sehemu usiyoijua, kwa vyovyote vile maadamu ni ndoto ya kupotea basi fahamu kuwa ndoto za namna hii mara nyingi zinatokana na Mungu. Na huwa zinakuja kwa makundi yote ya watu, (Yaani … Continue reading KUOTA UMEPOTEA.