Biblia inasema katika Zaburi 119:105 “Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu.” Hivyo Neno la Mungu ni Taa! Maisha ya Mtu aliyeokoka yanafananishwa na Mtu asafiriye (Waebrania 11:13 na 1Petro 2:11). Na safari mtu aliyeokoka asafiriyo ni safari ya USIKU na si Mchana. Kama unavyojua safari za Usiku zinakuwa na … Continue reading NENO LA MUNGU NI TAA
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed