TIMAZI NI NINI

Timazi ni nini? Ni kifaa kidogo kilichokuwa kinatumika zamani katika Ujenzi na hata sasa bado kinaendelea kutumika…kifaa chenye umbo la PIA. Kinakuwa kimetengenezwa kwa chuma kizito kidogo. Na kinafungwa kamba, na kuwa katika hala ya kuning’inia. Na kinaning’inizwa kutokea juu ya ukuta kwenda chini. Kifaa hichi kinamsaidia mjenzi kujua kama Ukuta wake umenyooka au la!. … Continue reading TIMAZI NI NINI