Biblia inamaana gani kusema;aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi?

SWALI: Kwanini biblia sehemu moja inasema mtu aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, na sehemu nyingine inasema tukisema hatuna dhambi tunajidanganya wenyewe