KWA KUWA NGUVU ZA MBINGUNI ZITATIKISIKA.

Kwanini nguvu za mbinguni zitikisike?. Bwana Yesu alitabiri na kusema kipindi kifupi karibu na mwisho wa dunia kutaanza kuonekana baadhi ya ishara za kutisha kutoka mbinguni, na mambo ya ajabu sana, Na hiyo itawafanya watu wengi waingie katika hofu sana, wakijiuliza nini maana ya mambo haya na nini kitatokea baada ya hayo.. Luka 21:25 “ … Continue reading KWA KUWA NGUVU ZA MBINGUNI ZITATIKISIKA.