Kwanini Musa alipewa mbao mbili za mawe na sio moja au zaidi
SWALI: Tukisoma Kutoka 34:1-5 Tunaona Musa anaambiwa atengeneze mbao mbili za mawe mfano wa zile za awali. Sasa swali ni kwanini ziwe mbili na sio moja au Zaidi? Na ni kwanini ziwe mbao za mawe. Je kuna ufunuo wowote kuhusu hilo? KWANINI ZILICHONGWA KWENYE MAWE. Sababu kuu ya Mungu kuzichonga kwenye mawe na si penginepo … Continue reading Kwanini Musa alipewa mbao mbili za mawe na sio moja au zaidi
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed