LITANIA YA BIKIRA MARIA JE! NI SALA YA KIMAANDIKO?

Litania ya bikira Maria mtakatifu ni nini?, Je Maria ni Malkia wa Malaika, Malkia wa mitume na malkia wa wakristo?. Maana ya “LITANIA” ni Mfululizo wa sala ambayo maneno yake ni ya kujirudia rudia, ambayo yanahusisha upande mmoja kuitikia. (Mkusanyiko unaitikia). Mtindo huu wa sala unatumika sana na Kanisa Katoliki. Sehemu ya baadhi ya Maneno … Continue reading LITANIA YA BIKIRA MARIA JE! NI SALA YA KIMAANDIKO?