USISIKILIZE DHIHAKA ZA SHETANI, ZITAKUKWAMISHA.
Usisikilize dhihaka za shetani, zitakukwamisha. Nehemia 4:1 “Lakini ikawa, Sanbalati aliposikia ya kwamba tulikuwa tukiujenga ukuta, akaghadhibika, akaingiwa na uchungu sana, akawadhihaki Wayahudi. 2 Akanena mbele ya nduguze na mbele ya jeshi la Samaria, akisema, Wayahudi hawa wanyonge wanafanyaje? Je! Watajifanyizia boma? Watatoa dhabihu? Au watamaliza katika siku moja? Je! Watayafufua mawe katika chungu hizi … Continue reading USISIKILIZE DHIHAKA ZA SHETANI, ZITAKUKWAMISHA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed