KRISIMASI (CHRISTMAS) NI NINI? JE IPO KATIKA BIBLIA?

SWALI: Krisimasi ni nini, Je! ni kweli Yesu alizaliwa tarehe 25 disemba, Je ni sahihi kwa mkristo kusheherekea Krisimasi? Krisimasi au kwa lugha ya kigeni Christmas, Ni neno lenye muunganiko wa maneno mawili: Kristo na masi/misa na hivyo  kuunda neno Kristo-masi, au misa ya Kristo, inayomaanisha  pia ibada ya Kristo. Ni siku ambayo mabilioni ya … Continue reading KRISIMASI (CHRISTMAS) NI NINI? JE IPO KATIKA BIBLIA?