“Msijisumbue kwa neno lolote;….(Wafilipi 4:6) Vita nyingine kubwa ambayo inapiganwa katika akili ya mkristo, ni vita ya hofu ya maisha,.. kwamba kesho yangu itakuwaje, nitakula nini, nitavaa nini, nitakuwa wapi miaka 5 mbeleni,.. nikiendelea katika hali hii hii uzee wangu utakuwaje, kodi ya nyumba mwezi ujao ikiisha nitapata wapi nyingine, watoto wangu wakiugua kwa ghafla … Continue reading MSIJISUMBUE KWA NENO LOLOTE.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed