KIJITO CHA UTAKASO.

Kijito cha Utakaso, Ni kijito cha  Damu ya Yesu, kidhihirishwacho kwa ubatizo wa maji mengi..Kama vile Maji ya farakano yalivyotumika katika Agano la kale kutakasa, katika Agano jipya yanatumika maji ya ubatizo. Katika Agano la Kale, ilikuwa hata kugusa tu maiti, mtu tayari ameingia Unajisi, hivyo ilimpasa akafanye utakaso kwanza kabla ya kuingia katika kusanyiko … Continue reading KIJITO CHA UTAKASO.