Kiungo chako kimoja kikikukosesha kikate.

Bwana Yesu alikuwa na maana gani aliposema “kiungo chako kimoja kikikukosesha kikate”? JIBU: Sentensi hiyo ina tafsiri mbili..Tafsiri ya kwanza ni ya rohoni, na pili ni ya mwilini…Tukianza na tafsiri ya rohoni ambayo inamaanisha viungo vyote vya rohoni. ..Kwamba kitu chochote kile ambacho ni kikwazo cha sisi kuingia mbinguni hicho ni sawa na kiungo, Umaarufu … Continue reading Kiungo chako kimoja kikikukosesha kikate.