VIFO VYA MITUME WA YESU/ JINSI MITUME WALIVYOKUFA.
Vifo vya mitume wa Yesu/ jinsi mitume walivyokufa. Mtume pekee ambaye biblia inarekodi mauaji yake jinsi yalivyokuwa ni mtume Yakobo ndugu yake mtume Yohana. Huyu biblia inasema katika Matendo 12:1-2, kuwa Mfalme Herode alimuua kwa Upanga, alikatwa kichwa. Lakini kwa habari ya mitume wengine waliosalia biblia haijarekodi jambo lolote kuhusu vifo vyao. Hivyo ili kupata … Continue reading VIFO VYA MITUME WA YESU/ JINSI MITUME WALIVYOKUFA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed