Ulinzi wa daima (eternal security) Je! ni neno la kimaandiko?

Ulinzi wa daima (eternal security) ni neno la kimaandiko? JIBU: Ulinzi wa daima, kama inavyojulikana kwa lugha ya kiingereza“eternali security”, linamaana kwamba mtu akishamwamini Kristo akaokoka, basi mtu huyo anakuwa tayari anao ulinzi wa milele wa wokovu wake, na kwamba hawezi kuanguka tena kwenda kuzimu hata iweje, kwani wewe tayari ni milki ya Mungu milele. … Continue reading Ulinzi wa daima (eternal security) Je! ni neno la kimaandiko?