KUOTA UNAKULA CHAKULA.

Kuota unakula chakula maana yake ni nini? Ninakusalimu katika jina la YESU KRISTO. Awali ya yote nitoe tahadhari, kuwa kuna wimbi kubwa la mafundisho mengi ya uongo kuhusu ndoto. Hivyo ukikosa uelewa wa tafsiri sahihi  kulingana na Mungu anavyozungumzia katika Neno lake..Utajikuta unapoteza kabisa dira ya Maisha yako ya rohoni kiujumla..na kujikuta unaacha kumtazama Mungu … Continue reading KUOTA UNAKULA CHAKULA.