Tofuati kati ya Myahudi, Mwisraeli na Muebrania ni ipi?

Tofuati kati ya Myahudi, Mwisraeli na Muebrania ni ipi? Haya ni maneno matatu tofauti lakini kiuhalisia yanangumzia kitu kimoja..Ni sawa na useme, mtanzania, mtanganyika, na mswahili..Ni yule yule isipokuwa inategemea unamzungumzia katika nyanja ipi. Ndivyo ilivyo kwa taifa la Israeli. Waebrania chimbuko lake ni Ibrahimu na kwa mara ya kwanza jina hilo linaonekana katika kitabu … Continue reading Tofuati kati ya Myahudi, Mwisraeli na Muebrania ni ipi?