ANTIPA SHAHIDI WANGU, MWAMINIFU WANGU.

Vitabu vilivyothibitika vya historia vinavyoeleza maisha na vifo vya watakaifu wengi wa kwanza vinaeleza kuwa Antipa alikuwa ni kasisi aliyeteuliwa na mtume Yohana, kuwa mwangalizi wa kanisa lililokuwa Pergamo. Kama vile Timotheo alivyowekwa na Mtume Paulo kuwa mwangalizi wa makanisa yote baada yake. Ikumbukwe kuwa kipindi hicho ndio wakati ambao kanisa la kwanza la Kristo … Continue reading ANTIPA SHAHIDI WANGU, MWAMINIFU WANGU.