MARIAMU AKUTANA NA ELISABETI.

Njia za Mungu hazichunguziki, Mariamu akutana na Elisabeti..Elisabeti katika uzee wake aliambiwa atapata mimba, wakati ambao kizazi kimeshanyauka. Je! Ni nini tunaweza kujifunza hapo?. Nakusalimu katika jina kuu la Emanueli, Bwana wetu YESU KRISTO. Wakati tukiwa katika kipindi hichi cha Krisimasi na kufunga mwaka. Napenda tufunge kwa kuwatazama wanawake hawa wawili Mariamu na Elisabeti. Wanawake … Continue reading MARIAMU AKUTANA NA ELISABETI.