HAPANA HATA MMOJA ATAKAYEIONJA KARAMU YANGU.

“Maana nawaambia ya kwamba katika wale walioalikwa, hapana hata mmoja atakayeionja karamu yangu” Tukisoma Luka 14 kuanzia mstari wa 16-24. Tunaona Bwana Yesu akitoa mfano wa mtu mmoja aliyefanya karamu kubwa sana. Na siku ilipofika ya sherehe muda wa chakula akatuma mtumwa wake kwenda kuwaita wale waliolikwa waje karamuni lakini mwitikio wao siku hiyo ulikuwa … Continue reading HAPANA HATA MMOJA ATAKAYEIONJA KARAMU YANGU.