NJIA SAHIHI YA KUMPATA MWENZA WA MAISHA KIBIBLIA.

Kuchagua mwenza wa Maisha si jambo la kulichukulia kiwepesi wepesi tu kama vile kuchagua Rafiki, ambaye hata mkigombana mnaweza mkaachana na kurudiana muda wowote. Tena ikiwa wewe ni mtu uliyeokoka ndio unapaswa uwe makini mara dufu, kwasababu ukifanya maamuzi yasiyosahihi utajikuta sio tu kuupoteza wokovu wako bali pia kufanyika chombo cha kuwapoteza na wengine. Ipo … Continue reading NJIA SAHIHI YA KUMPATA MWENZA WA MAISHA KIBIBLIA.