NAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA!

Shalom. Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe… Ni kwa Neema za Bwana tumeuona tena mwaka huu mpya wa 2020. Si wote waliovuka lakini sisi tumevuka..Utukufu na heshima na shukrani zina yeye. Amina. Nakutakia mafanikio katika huu mwaka ulioanza. Mafanikio ya roho yako..ambayo hayo yatazaa mafanikio mengine yote yaliyosalia..kama maandiko yanavyosema katika.. 3Yohana 1:2 “Mpenzi … Continue reading NAKUTAKIA HERI YA MWAKA MPYA!