NI NINI KINAKUPATA UNAPOIPUUZIA INJILI?

unapoipuuzia injili unayohubiriwa mwaka mzima, Ni nini kinakupata? Siku zote kuna makundi mawili ya watu. Kundi la kwanza ni watu ambao wakishaisikia injili kidogo tu, na kuchomwa dhimira zao ndani saa hiyo hiyo wapo tayari kutii na kutubu na kugeuka, mfano wa kundi hili tunalona katika siku ile ya Pentekoste, Mtume Petro alipofungua kinywa chake … Continue reading NI NINI KINAKUPATA UNAPOIPUUZIA INJILI?