Kwanini kila nikitaka kusali naingiwa na uvivu?

 SWALI: Kwanini kila nikitaka kusali naingiwa na uvivu, au nikitaka kusoma Neno ninapatwa na usingizi je! hizi ni nguvu za giza zinazisonga au ni nini?. JIBU: Mtu yeyote aliyeokoka mbele yake, wapo maadui wawili wakubwa, adui wa kwanza ni shetani, na adui wa pili ni Mwili. Shetani anachofanya ni kuhakikisha kuwa unakaa mbali na Mungu..Atafanya … Continue reading Kwanini kila nikitaka kusali naingiwa na uvivu?