MTU ASIYE PAMOJA NAMI YU KINYUME CHANGU.
Jina kuu la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe…Karibu tena tujifunze maandiko…kwa kuwa jukumu kuu tulilonalo kila siku ni kumjua sana Yesu Kristo mwana wa Mungu na kuhakiki kila siku ni nini kimpendezacho sawasawa na Waefeso 4:13 na 5:10. Leo tutayatafakari maneno ya Bwana Yesu Kristo aliyoyasema katika kitabu cha Mathayo. Mathayo 12:30 “Mtu asiye pamoja … Continue reading MTU ASIYE PAMOJA NAMI YU KINYUME CHANGU.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed