NENO LA MUNGU NI DAWA ILIYO TOFAUTI NA DAWA NYINGINE.

Neno la Mungu au kwa jina lingine linaitwa Gombo, ni dawa inayoponya maisha ya mtu kwa ujumla.Tofauti na Dawa nyingine, ambazo zinaweza kuishia kuponya mwili tu, na baada ya hapo hakuna kitu kingine zinaweza kufanya, na licha tu ya kutibu kifo bali hata nafsi iliyopondeka hakuna dawa yoyote inayoweza kuiponya isipokuwa Neno la Mungu peke … Continue reading NENO LA MUNGU NI DAWA ILIYO TOFAUTI NA DAWA NYINGINE.