HATA NA BARNABA PIA AKACHUKULIWA NA UNAFIKI WAO!!
Tukisoma kitabu cha Matendo ya mitume tunaona kikizungumza habari za matendo ya kishujaa yaliyofanywa na mitume wa Bwana, jinsi walivyofanya bidii kuieneza injili ya Kristo ulimwenguni kote, lakini pamoja na hayo biblia inatueleza pia yapo makosa yaliyofanywa nao wao katika huduma zao, Na lengo la Mungu kuruhusu yaandikwe ni ili kutufunza sisi nasi tusije tukayarudia … Continue reading HATA NA BARNABA PIA AKACHUKULIWA NA UNAFIKI WAO!!
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed