KILA MTU ATATOA HABARI ZAKE MWENYEWE.
Neno la Mungu linasema katika … Warumi 14:10 “……. Kwa maana sisi sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu. 11 Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu. 12 Basi ni hivyo, KILA MTU MIONGONI MWETU ATATOA HABARI ZAKE MWENYEWE MBELE ZA MUNGU”. Siku … Continue reading KILA MTU ATATOA HABARI ZAKE MWENYEWE.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed