TAZAMA, MWISRAELI KWELI KWELI, HAMNA HILA NDANI YAKE!
Filipo na Nathanaeli, walikuwa ni marafiki wa karibu sana, wote wawili maisha yao yalikuwa ni maisha ya kuifuata dini, wakichunguza habari za Masihi na kuja kwake, Walikuwa ni watu wa kusoma torati na maandiko yote yanayomuhusu Masihi, maisha yao kwa muda mrefu yalikuwa ya namna hiyo, pengine walikuwa wanakutana kila siku au kila wiki, kuzungumza … Continue reading TAZAMA, MWISRAELI KWELI KWELI, HAMNA HILA NDANI YAKE!
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed