SI KILA KIPENDEZACHO KINATOKA KWA BWANA.
Na mkia wake wakokota theluthi ya nyota za mbinguni, na kuziangusha katika nchi. Shalom. Ni siku nyingine tena tumepewa na Bwana. Karibu tujifunze Biblia. Leo tutajifunza njia mojawapo shetani anayotumia kuwaangusha watu. Kama wengi wetu tunavyojua..historia ya shetani ni ndefu kidogo, ilianzia mbinguni…Huko biblia inasema alikuwa ni malaika wa sifa, Alikuwa ni kerubi wa sifa. … Continue reading SI KILA KIPENDEZACHO KINATOKA KWA BWANA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed