HAKIKISHA UNALIELEWA NENO.

 Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe..Karibu tujifunze Biblia..Taa iongozayo miguu yetu na mwanga wa njia yetu…Tabia mojawapo ya Mwovu ni kuiba angali vikiwa vidogo..Kuna uhusiano mkubwa sana wa KUSIKIA NENO LA MUNGU NA KULIELEWA.Hivyo HAKIKISHA UNALIELEWA NENO. Biblia inasema. Mathayo 13:18  “Basi ninyi sikilizeni mfano wa mpanzi. 19  Kila mtu alisikiapo neno la ufalme … Continue reading HAKIKISHA UNALIELEWA NENO.