AINA YA MAADUI UTAKAOKUTANA NAO KATIKA SAFARI YAKO YA WOKOVU.
Pale unapookoka au unapoamua kumtumikia Mungu ni vizuri kufahamu, aina za maadui ambao utakutana nao kuiharibu imani yako kwa namna moja au nyingine. Hiyo itakusaidia ili siku utakapokutana nao usiyumbishwe kiasi cha kukata tamaa ya kuendelea mbele. #1 Adui wa kwanza ni Shetani na mapepo yake: Luka 22:31 “Akasema, Simoni, Simoni, tazama, Shetani amewataka ninyi … Continue reading AINA YA MAADUI UTAKAOKUTANA NAO KATIKA SAFARI YAKO YA WOKOVU.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed