IFANYE KAZI YA MUNGU PASIPO HOFU!

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze Biblia.. Jambo mojawapo ambalo shetani anapenda kulitumia ili kuikatisha kazi ya Mungu ni kutumia vitisho?..Kwamfano utaona katika agano la kale wakati fulani ambapo Mungu aliwarudisha tena wana wa Israeli katika nchi yao baada ya kukaa utumwani Babeli kwa muda wa miaka 70 aliwaagiza watakaporudi wamjengee nyumba….Na … Continue reading IFANYE KAZI YA MUNGU PASIPO HOFU!