WAKAMCHA BWANA, NA KUITUMIKIA MIUNGU YAO WENYEWE.
Shalom. Karibu tujifunze Biblia… Wana wa Israeli walipomwacha Mungu kwa muda mrefu na kuitumikia miungu mingine migeni.. Mungu aliwatoa katika nchi yao na kuwapeleka katika mataifa ya mbali..Israeli akaipeleka Babeli na baadaye Yuda nayo akaipeleka Ashuru nchi ikabakia tupu…Lakini mfalme wa Ashuru kuona nchi imebaki haina watu, akaamua kukusanya baadhi ya watu kutoka katika baadhi … Continue reading WAKAMCHA BWANA, NA KUITUMIKIA MIUNGU YAO WENYEWE.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed