NGUVU YA MSAMAHA

Karibu tujifunze mambo yafuatayo; Nguvu ya msamaha ipo wapi? Biblia inaposema achilieni nanyi mtaachiliwa ina maana gani?Je kumpeleka mtu polisi au mahakamani ni kutokusamehe? Neno Msamaha, halina tofauti sana na Neno ‘kuachilia’ au ‘kufungulia’. Unapomsamehe mtu aliyekukosea ni sawa na umemwachilia huru katika moyo wako. Huna naye deni tena, anakuwa anatoka katika kifungo cha moyo … Continue reading NGUVU YA MSAMAHA