Utii ni nini? na ni nani tunayepaswa kumtii au kutokumtii?

Utii ni nini kibiblia? Utii ni kitendo cha kukubali kufanya maelekezo au maagizo unayopewa na aliye na mamlaka ya juu Zaidi yako wewe bila kujali  linakubaliana na maamuzi yako au la!. Lakini pamoja na hayo watu wengi hawajui kuwa utii unaweza pia kutanguliwa na isihesabiwe kuwa ni dhambi ya kutokutii mbele za Mungu, Lakini hiyo … Continue reading Utii ni nini? na ni nani tunayepaswa kumtii au kutokumtii?