JE! WEWE NI MWAKILISHI MWEMA?

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe… Tunasoma Bwana wetu Yesu Kristo alipoanza huduma yake alianza peke yake…lakini akiwa katikati ya huduma hiyo, kama wengi wetu tunavyojua aliwatafuta wanafunzi ambao hao baada ya yeye kuondoka wataiendeleza kazi aliyokuwa anaifanya yeye. Aliona kuwa mavuno ni mengi na yeye peke yake hatoshi inahitajika jeshi kubwa. Hivyo aliwatafuta … Continue reading JE! WEWE NI MWAKILISHI MWEMA?