MAMBO 5 AMBAYO KILA MKRISTO ANAPASWA KUFAHAMU.

Mambo 5 ambayo kila mkristo anapaswa kufahamu. NJIA IMESONGA. Kuvuka ng’ambo si kurahisi kama inavyodhaniwa na wengi. Mathayo 7:13  “Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. 14  Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni … Continue reading MAMBO 5 AMBAYO KILA MKRISTO ANAPASWA KUFAHAMU.