KWANINI MUNGU ALIMTUMIA MUSA KWA VIWANGO VILE?
Shalom, Karibu tujifunze Neno la Mungu. Lipo swali ambalo tunaweza tukajiuliza siku ya leo, ni kwanini miujiza yote ile mikubwa namna ile Mungu alimtumia musa kuifanya na si mtu mwingine?…Licha ya kuwa ulikuwa ni mpango wa Mungu kuwaokoa wana wa Israeli kwa mkono hodari lakini pamoja na hayo ipo siri nyingine ambayo tunaweza kujifunza kwa … Continue reading KWANINI MUNGU ALIMTUMIA MUSA KWA VIWANGO VILE?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed