Kwanini yule mtu hakukutwa na vazi la arusi wakati alialikwa?

SWALI: Kwanini yule mtu hakukutwa na vazi la arusi wakati naye pia alialikwa?. Inamaana wale wengine walipewa mavazi siku ile ya kuingia karamuni? Tusome: Mathayo 22:1  “Yesu akajibu, akawaambia tena kwa mithali, akisema, 2  Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyemfanyia mwanawe arusi. 3  Akawatuma watumwa wake wawaite walioalikwa kuja arusini; nao wakakataa kuja. … Continue reading Kwanini yule mtu hakukutwa na vazi la arusi wakati alialikwa?