ANGALIA USIJE UKANG’OA NGANO KATIKATI YA MAGUGU.

Naomba watu wote tusome hii… Hakuna mtu asiyejua kuwa shetani, naye hujigeuza na kuwa mfano wa malaika wa Nuru (2Wakorintho 11:14)? Lakini tunapaswa tujiulize lengo la yeye kujibadilisha vile ni nini? Utagundua kuwa Hana lengo lingine zaidi ya kuuchafua utakatifu wa malaika ili na wao pia waonekane kuwa ni waovu. Vivyo hivyo na watumishi wake … Continue reading ANGALIA USIJE UKANG’OA NGANO KATIKATI YA MAGUGU.